Aviator

Spribe

Game Image
Game Image

RTP:

97

Volatility:

Very

Categories:

Crash

Release Date:

2023-11-15

Minimum Stake:

TZS 20

BongoBongo Aviator 

Aviator, maarufu pia kama Kindenge, ni moja ya michezo ya crash inayochezwa sana Tanzania, na ni rahisi kuona kwa nini. Ikiwa na RTP ya 97% na sheria rahisi sana, lengo lako ni kutoa dau (cash out) kabla ndege haijatoweka. Kadri ndege inavyoruka juu zaidi, ndivyo ushindi wako unavyoweza kuongezeka.

Jinsi ya Kucheza Aviator Hatua kwa Hatua 

Jiunge na BongoBongo. Fungua akaunti yako kwenye BongoBongo na weka pesa ili kuanza kucheza kwa pesa halisi. Inachukua dakika chache tu kuanza.

Weka Dau Lako

Chagua kiasi cha dau unachotaka kuweka (kuanzia TZS 100) kisha bonyeza Place Bet (Weka Beti) na usubiri raundi inayofuata.

Kidokezo: Unaweza kuweka dau mbili kwa wakati mmoja kwa kutumia paneli zote mbili za kubet. Hii ni nzuri kama unataka kujaribu mikakati tofauti ya cash out.

Tazama Ndege Ikiruka

Raundi inapoanza, kuwa makini na tayari kutoa dau lako, kwa sababu ndege inaweza kuondoka wakati wowote.

Cash Out

Bonyeza “Cash Out” pale multiplier inapofika kiwango unachotaka na hakikisha ushindi wako. Ukichelewa kutoa dau, ndege itaondoka na dau lako litapotea.

Jinsi ya Kushinda Kwenye Aviator: Mikakati Bora 

Aviator ni mchezo wenye bahati na nafasi kubwa, kwa sababu haiwezekani kutabiri ndege itaruka juu kiasi gani kila raundi. Hata hivyo, unaweza kutumia zana za mchezo kubeti kwa ushindi zaidi.

Auto Cash Out 

Kwa kutumia Auto Cash Out, unaweza kuseti multiplier mapema ambayo unataka ikifika tu cashout ifanyike yenyewe. Mchezo utatoa dau lako moja kwa moja ndege inapofika kiwango hicho ulichokiseti.

Cash Out Kwenye Multiplier Ndogo 

Kutoa dau kwenye multiplier ndogo ni njia salama ya kucheza, kwa sababu hata kama ndege itaanguka mapema, hasara yako haitakuwa kubwa.

Jaribu Free Play Mode (Cheza Bure) 

Unataka kujaribu mikakati yako kabla ya kucheza kwa pesa halisi? Katika Free Play Mode (Cheza Bure), unaweza kuweka dau bila kuweka deposit wala kutumia salio lako halisi.

Jinsi ya Kuweka Pesa Kwenye Mchezo wa Aviator 

Ili kucheza Aviator kwa pesa halisi: Jisajili kwenye BongoBongo kwa kubonyeza “Jiunge”. Weka Pesa angalau kuanzia TZS 100. Baada ya muamala kukamilika, utakua tayari kuanza kurusha ndege.

Jinsi ya kupata free bets kwenye Aviator?

Kwenye Bongobongo, kuna njia mbili rahisi za kupata beti za bure: unaweza kuzipata kupitia Miruko ya Siku 7 au kuzipata kupitia Aviator Rain  (Mvua za Aviator) zinazoanguka kwa bahati nasibu kwenye chat ya mchezo!

Miruko ya Siku 7 ya Flight (Kindege): Jinsi ya kupata free bets zako

Kamilisha Miruko na upate flight (Miruko) 10 ya bure kila siku kwa siku 7 zako za kwanza!

Unachotakiwa kufanya ni kujisajili Bongobongo na kuingia kwenye mchezo wa Aviator.

Kila siku: Weka beti 10 za angalau TZS 100 kila moja Ili kuhesabiwa, beti lazima: Iwe imepotea au Iwe umetoka (cash out) kwenye 2.0x au zaidi

Flight (Miruko) yako 10 za bure zitaongezwa kwenye akaunti yako ndani ya masaa 24

Rudia kila siku kwa wiki yako ya kwanza na unaweza kukusanya hadi flight (Miruko) 70 za bure kwa jumla.

Aviator Rain: Jinsi ya kupata free bets (beti za bure)

Aviator Rain ni promosheni inayotoa free bets (beti za bure) kwa nyakati za bahati nasibu kwenye chat ya mchezo.Hakikisha unaangalia chat wakati unacheza ili usikose!. Zikitokea, bonyeza “Claim” (Dai) mara moja ili kuzichukua. Usichelewe, una saa 1 tu kudai free bets (beti za bure). Zawadi hizi hutegemea kiasi cha pesa kilichowekwa hivi karibuni kwenye Aviator. Kulingana na kiasi kilichowekwa ndani ya dakika 30 zilizopita, unaweza kupata free bets kuanzia TZS 100 hadi TZS 1,000

VIGEZO NA MASHARTI: Free bets hizi zinaweza kutumika tu kwa cash out ya chini ya 1.5x. Lazima uzitumie ndani ya masaa 3 baada ya kuzidai

Vipengele Muhimu vya Mchezo wa Crash 

Historia ya Kila Raundi 

Katika sehemu ya Round History, unaweza kuona matokeo ya raundi zilizopita. Multiplier ndogo huonekana kwa rangi ya bluu. Multiplier za kati kwa rangi ya Zambarau. Multiplier kubwa kwa rangi ya Pinki

Settings Menu (Uwanda wa urekebishaji) 

Menu hii inakuruhusu kubadilisha mpangilio wa mchezo, kama vile: Kubadilisha avatar yako(Profile), Kuzima sauti au muziki wa mchezo, Kuangalia historia ya dau lako, Kuona mipaka ya mchezo na sheria zake

Auto Cash Out & Auto Bet (Cash Out na Auto Bet za Kiautomatiki) 

Auto Cash Out hukuruhusu kupanga cash out mapema. Ndege ikifikia multiplier uliyochagua, ushindi wako utalipwa moja kwa moja.

Auto Bet hukuweka moja kwa moja kwenye raundi zinazofuata bila kubonyeza kila mara (kama ilivyo kwenye slot games).

Lakini kumbuka cash out bado utahitaji kufanya mwenyewe isipokuwa uwe umeweka Auto Cash Out.

Ni Wakati Gani Bora wa Kucheza Aviator?

Kuna uvumi kwamba wakati fulani wa siku ndege hutoa multiplier kubwa zaidi, lakini hii ni uvumi tu.

Hakuna muda maalum unaohakikisha ushindi mkubwa. Hivyo unaweza kucheza wakati wowote unapojisikia kufurahia mchezo.

Teknolojia ya Provably Fair: Inavyohakikisha Uaminifu 

Aviator inatumia teknolojia ya “Provably Fair” inayojitegemea.

Teknolojia hii inahakikisha matokeo ya mchezo ni ya haki kwa 100%, na haiwezekani kwa mtu yeyote wa nje kuingilia au kubadilisha matokeo ya mchezo.

Kwa Nini Ucheze kwenye BongoBongo? 

Inafaa kwa Wachezaji Wapya na Wazamani 

Aviator ni mchezo rahisi sana kucheza: weka dau, tazama ndege ikiruka, na cash out kabla haijaondoka.

Nafasi Kubwa ya Kushinda 

Unaweza kufikia multiplier 30x, 40x, 50x au zaidi. Ukifanya cash out kwenye multiplier kubwa, dau lako linaweza kuongezeka sana.

Ni Mchezo wa Wachezaji Wengi 

Unaweza kuwasiliana na wachezaji wengine kupitia chat, kushiriki uzoefu na kubadilishana vidokezo vya mchezo.

Unataka Kuanza Kucheza? 

Jisajili BongoBongo leo na tumia promo ya Aviator Rain ili kupata nafasi ya kushinda beti za bure!