The Amazing Money Machine

Pragmatic Play

Game Image
Game Image

RTP:

96.42

Volatility:

High

Categories:

Slots, Jackpot

Release Date:

2023-11-15

Minimum Stake:

TZS 20

Jinsi ya Kucheza The Amazing Money Machine - Bongobongo Tanzania

Slot ya The Amazing Money Machine ina muundo tofauti kabisa na ule ambao tumezoea. Ina reels 5 na mistari 3; hata hivyo, mistari hii inaweza kupanuka hadi 4 au hata 5.

Kipengele kingine cha kipekee katika mchezo huu ni uwepo wa mashine iliyo upande wa kushoto wa reels, ambayo kwa bahati nasibu huingiza alama kama Wild Symbols, Money, na Instant Jackpot kwenye reels wakati wowote wa spin, bila mpangilio maalum kabisa.

Jinsi ya Kucheza - Hatua kwa Hatua

1.Chagua kiasi chako cha beti, ambapo beti ya chini kabisa ni TZS 20. Baada ya kuchagua, thamani hiyo itaonekana ikiwa imeangaziwa sehemu ya chini ya skrini.

2.Bonyeza kitufe cha Spin kuanza mzunguko.

3.Baada ya spin, ikiwa alama zinazofanana zitaonekana kwenye mistari inayofanya kazi, utapokea malipo kulingana na jedwali la malipo (paytable) lililoonyeshwa katika sehemu iliyo hapa chini.

Jinsi Alama Zinavyolipa kwenye Mchezo

Hapa kuna jedwali lililounganishwa lenye alama zote zinazolipa (wahusika, vitu, na kadi), zimepangwa kutoka thamani ya juu hadi ya chini:

Alama

5 Alama (TZS)

4 Alama (TZS)

3 Alama (TZS)

Blue Diamond (Wild)

250,000.00

50,000.00

12,500.00

Woman 

50,000.00

25,000.00

5,000.00

Man

37,500.00

12,500.00

3,750.00

Airship

25,000.00

7,500.00

2,500.00

Jetpack

25,000.00

7,500.00

2,500.00

Ray Gun

12,500.00

5,000.00

1,250.00

Glasses

12,500.00

5,000.00

1,250.00

10,000.00

3,750.00

1,250.00

K

10,000.00

3,750.00

1,250.00

Q

6,250.00

2,500.00

1,250.00

J

6,250.00

2,500.00

1,250.00

10

6,250.00

2,500.00

1,250.00

Alama Maalum 

Alama hizi ni muhimu kwa vipengele vya ziada:

Money Regular 

Huonyesha kiasi cha zawadi ya pesa taslimu (kinachohusiana na bet yako). Kiasi hiki hukusanywa ikiwa alama itabaki hadi mwisho wa baadhi ya vipengele vya mchezo.

Mystery Money 

Huonyesha thamani yake halisi tu baada ya kipengele cha respin kumalizika.

Wild Money

Huchanganya kazi ya alama ya Wild pamoja na thamani ya pesa taslimu ambayo huonekana mwisho wa kipengele cha respin.

Jackpot Money

Huonekana wakati wa kipengele cha respin na huchangia pointi kuelekea kuamilisha bonasi ya jackpot.

Kipengele cha Money Respin

Hiki ndicho kipengele kikuu cha mchezo:

1.Ikiwa utapata angalau alama 5 za Money baada ya spin, kipengele cha Money Respin huwashwa.

2.Kipengele hiki kinapokuwa kimewashwa, reels hubadilika na kuonyesha skrini ambayo ina alama za Money pekee na nafasi tupu.

3.Kila mara alama mpya ya Money inapotokea, hukupa +1 ya ziada ya respin.

4.Kipengele hiki huisha pale ambapo respins zinaisha au gridi (grid) inapojaa kabisa na alama za Money.

5.Wakati wa hatua hii, alama za Jackpot Money pia zinaweza kuonekana na kuongeza pointi kuelekea kuamilisha kipengele cha jackpot.

Kipengele cha Jackpot Bonus

Unaweza kuanzisha kipengele hiki kwa njia tatu:

  • Alama 3 za Bonus zikijitokeza kwenye reels 2, 3 na 4 wakati wa mchezo wa kawaida (base game).

  • Wakati wa Money Respin, kwa kukusanya alama 3 za Jackpot Money.

  • Au kupitia alama ya Instant Jackpot inayoweza kuanzishwa na mashine ya upande.

Ongezeko la Reels

Ikiwa alama 3 za Pesa zitatua kwenye reel ya kati wakati wa mchezo wa kawaida (base game), mchezo unaweza kupanua gridi kutoka mistari 3 hadi mistari 4 (ways 30 za kushinda) au hadi mistari 5 (ways 60 za kushinda).

Ongezeko na  uwezekano wa kupata mchanganyiko zaidi wa ushindi na pia huongeza nafasi ya kupokea thamani za Money Symbols pamoja na michango kuelekea kipengele cha jackpot iwapo Money Respin itawashwa.

Cheza The Amazing Money Machine kwenye Bongobongo Bure

Ikiwa umependa slot hii na unataka kuelewa vizuri jinsi paylines na vipengele vingine vinavyofanya kazi kwa vitendo, bonyeza “Free Play” iliyo juu ya ukurasa huu na ucheze bure hadi utakapojisikia tayari kucheza kwa pesa halisi!