Jinsi ya kucheza Hot to Burn ya Pragmatic Play: slot iliyojaa alama za matunda za retro!
Hot to Burn ni slot ya kawaida (classic slot) kutoka Pragmatic Play iliyoongozwa na mashine za matunda za zamani ambazo hupatikana kwenye kasino za ardhini, zikikupa hisia ya kucheza kama ulivyo Las Vegas.
Slot hii ina gridi ya 5x3 na paylines 5 zilizowekwa (fixed paylines), na lengo lako ni kuunda mchanganyiko wa alama zinazofanana kwenye angalau moja ya hizo paylines.
Mchezo huu una muundo rahisi na hauna vipengele vya ziada vya kisasa. Hii inamaanisha hutakuta raundi za bonasi au mechanics nyingine maalum.
Na kama ilivyo kwa slot zote za Pragmatic Play, unaweza kutumia kipengele cha autoplay kuweka bets zako kiotomatiki na kuchagua idadi maalum ya spins (hivyo huhitaji kubonyeza kitufe kila mara).
Jinsi ya kucheza Hot to Burn katika Hatua 3 Rahisi
1.Bonyeza “Play Now” juu ya ukurasa ili kuanza mchezo. Ikiwa unapendelea kufanya mazoezi kwanza bila kuweka dau la pesa halisi, bonyeza “Free Play”.(Cheza Bure)
2.Weka kiasi chako cha dau kwa kubonyeza vitufe vya kuongeza (+) au kupunguza (–), kisha chagua idadi ya sarafu kwa kila mstari na thamani ya sarafu. Mchanganyiko wa hivi viwili utaamua jumla ya dau lako kwa kila spin.
3. Bonyeza kitufe cha spin kuanza mzunguko. Reels zitazunguka kiotomatiki na kusimama kutoka kushoto kwenda kulia.
Jinsi malipo yanavyofanya kazi
Malipo hufuata mfumo wa kawaida wa slot ambao huenda tayari unaoufahamu: ushindi huhesabiwa kulingana na dau kwa kila mstari na idadi ya alama zinazofanana zilizo kwenye mfuatano mmoja
Kadri unavyopata alama nyingi zinazofanana, ndivyo malipo yanavyoongezeka. Angalia kwenye jedwali hapa chini kuona jinsi malipo yanavyofanya kazi kulingana na idadi ya alama.
Alama | 5 (TZS) | 4 (TZS) | 3(TZS) | 2 (TZS) |
7 | 3,000,000.00 | 600,000.00 | 60,000.00 | — |
Watermelon | 300,000.00 | 120,000.00 | 30,000.00 | — |
Strawberry | 300,000.00 | 120,000.00 | 30,000.00 | — |
Plum | 120,000.00 | 30,000.00 | 12,000.00 | — |
Orange | 120,000.00 | 30,000.00 | 12,000.00 | — |
Lemon | 120,000.00 | 30,000.00 | 12,000.00 | — |
Cherries | 120,000.00 | 30,000.00 | 12,000.00 | 3,000.00 |
Scatter | 150,000.00 | 30,000.00 | 6,000.00 | — |
Alama ya Scatter
Ikiwa alama tatu au zaidi za Scatter zitatokea mahali popote kwenye reels, utapokea malipo ya moja kwa moja, hata kama hazijapangika kwenye mstari unaolipa (payline) unaotumika.
RTP, Volatility, Kizidisho cha Juu (Max Multiplier) na Dau la Chini
Mchezo huu una RTP (Return to Player) ya takriban 96.71% na kiwango cha hatari cha kati (medium volatility).
Dau la chini linaanzia TZS 20, huku kizidisho cha juu (maximum multiplier) kikiwa kinaweza kufikia hadi takriban mara 1,000 ya dau lako la jumla kupitia mchanganyiko wa alama zenye thamani kubwa zaidi.
Autoplay/Kiotomatiki
Kipengele cha Autoplay hukuruhusu kucheza kwa mashine kiotomatiki bila kubonyeza kitufe cha spin kila mara. Unaweza kuchagua idadi ya spins unazotaka, na mchezo utaendelea kucheza kwa niaba yako hadi idadi hiyo itimie au hadi uisimamishe mwenyewe.
Pia unaweza kuweka mipaka ya hasara au ushindi ili kudhibiti matumizi yako na kusimamisha autoplay moja kwa moja inapofikia kiwango ulichoweka.
Tumia Fursa ya Promosheni ya Drop & Wins ya Pragmatic Play
Kwa promosheni ya Drop & Wins, unaweza kushinda zawadi za pesa taslimu ukiwa unacheza, bila kujali kama umeshinda au umepoteza kwenye spins zako. Katika kipindi cha promosheni, kila spin inachangia kwenye zawadi za bahati nasibu ambazo zinaweza kudondoka wakati wowote.
Ili kushiriki, unahitaji tu:
Ingia au fungua akaunti ya BongoBongo
Weka dau la angalau TZS 435 kwenye michezo inayoshiriki
Pata sehemu ya zawadi 100,000 za kila wiki katika pesa taslimu na free spins
Cheza Hot to Burn kwenye BongoBongo Tanzania leo!
Uko tayari kujaribu bahati yako? Anza kucheza leo uone kitakachotokea. Jiunge na BongoBongo sasa na udai ofa ya free spins kwa wachezaji wapya!

