High Flyer

Pragmatic Play

Game Image
Game Image

RTP:

Unknown

Volatility:

Categories:

Crash

Release Date:

N/A

Minimum Stake:

TZS 18

Cheza High Flyer kwenye BongoBongo na uone dau lako likiongezeka mara nyingi!

High Flyer ni mchezo wa crash uliotengenezwa na mtoa michezo maarufu Pragmatic Play. Katika mchezo huu, unafuatilia ndege ikiruka na kupaa juu hadi pale itakapoporomoka kwenye multiplier ya bahati nasibu. Multiplier huanza 1.00x na inaweza kufika 500x, 1,000x, au kama una bahati sana… 1,000,000x!

Jinsi High Flyer Inavyofanya Kazi: Tambua lengo Kama Mchezaji

Kama wewe ni mgeni kwenye michezo ya crash na hujui namna ya kucheza High Flyer, usijali tutakuelezea kwa lugha rahisi.

Kimsingi, unachotakiwa kufanya ni:

Chagua kiasi cha dau, Weka dau lako kwenye sehemu ya kubeti. Kama ni mara yako ya kwanza kucheza, tunashauri nenda sehemu moja tu ya kubeti. Baada ya kuzoea mchezo, unaweza kuanza kuweka dau mbili kwa wakati mmoja. Unaweza kubadilisha au kufuta dau lako kwa raundi inayofuata mpaka ujumbe wa “Bets Closed” uonekane kwenye skrini. Mara mchezo unapoanza na multiplier kuanza kupanda, unaweza kutoa pesa zako (cashout) wakati wowote kabla ndege haijaporomoka.

Lakini kumbuka:

Ikiwa crash itatokea kwenye 1.00x, dau zote zilizowekwa kwenye raundi hiyo zinapotea moja kwa moja. Lengo lako Kufanya cashout kabla ya crash(ndege kudondoka) ili ushinde dau lako likizidishwa na multiplier iliyopo.

Zana Zinazoweza Kukusaidia Sana Kwenye Mchezo

Auto Cashout (. Unaweza kuweka multiplier maalum (kuanzia 1.01x hadi 100x).

Ikiwa mchezo utafika thamani hiyo kabla ya crash, malipo yako yanahakikishwa. Lakini bado unaweza kutoa pesa mwenyewe (manual cashout) hata kama Auto Cashout imewashwa, kama unataka kutoa mapema.

Autoplay (Rudia Beti Yenyewe). Kipengele cha Autoplay kinakuruhusu kurudia dau lako kwa raundi 5, 10, 25 au 100. Tumia Autoplay kwa umakini, ili usipoteze udhibiti wa salio lako.

Last Results (Matokeo ya Mwisho). Inaonyesha matokeo ya raundi zilizopita yaani ndege ilifika multiplier gani kabla ya kuanguka. Hii hukusaidia kuona ni mara ngapi multiplier ndogo au kubwa hutokea, jambo linaloweza kusaidia kupanga mkakati wako wa kubeti.

Previous Round (Mizunguko Iliyopita). Hapa unaweza kuona historia kamili ya raundi iliyopita, ikiwemo: Wachezaji wote waliocheza, Multiplier walizotoa cashout, Unaweza kujifunza au kupata msukumo kutoka kwa dau za wachezaji wengine.

Jinsi ya Kucheza High Flyer Kwa Pesa Halisi

Jisajili BongoBongo kwa kubonyeza “Jiunge”. Tumia ofa yetu ya kujiunga na upate Spin za Bure baada ya kujisajili. Baada ya kuweka pesa, tafuta mchezo kwenye kasino yetu. Bonyeza Play Now (Cheza Sasa) kuanza kucheza. Kama unataka kujifunza bure kabla ya kucheza kwa pesa halisi, chagua “Cheza Bure”.

Michezo Mingine ya Crash kutoka Pragmatic Play

Kama unapenda michezo ya Pragmatic Play na unapenda aina ya High Flyer, kuna michezo mingine pia.

Spaceman

Huu ndio mchezo wa kwanza wa crash uliotolewa na Pragmatic Play na ni miongoni mwa inayochezwa sana duniani. Ulianzisha kipengele cha 50% Cashout (Kutoa Pesa 50% ya Ushindi), kinachokuruhusu: Kuchukua ushindi kwenye nusu ya dau lako, Kuendelea kucheza na nusu iliyobaki kutafuta multiplier kubwa zaidi.

Big Bass Crash

Mchezo huu unakuja na vipengele kama: Leaderboard ya moja kwa moja, Chat ya wachezaji wengi, 50% Cashout (Kutoa Pesa 50% ya Ushindi)

Vipengele vingine muhimu kujua.

Kwa Nini Ucheze High Flyer kwenye BongoBongo Tanzania? Inafaa kwa Wachezaji wa Viwango Vyote. Tunapendekeza mchezo huu kwa wachezaji wapya na wazamani, yeyote anayetaka uzoefu wa kasino ulio wa kusisimua zaidi kuliko sloti za kawaida.

Nafasi Kubwa ya Kushinda. Tofauti na sloti ambapo mara nyingi unahitaji kufungua bonus round ili kushinda, kwenye High Flyer unaweza kupata multiplier 500x, 600x au zaidi kwenye raundi yoyote hata kwa dau dogo.

Dau la dogo la Kuanzia.Faida nyingine kubwa ni kwamba unaweza kuweka dau nyingi kwa kiasi kidogo, hivyo ni bora kwa wachezaji wasiopenda kucheza pesa nyingi.