Aviatrix

Aviatrix

Game Image
Game Image

RTP:

94.5

Volatility:

High

Categories:

Crash

Release Date:

N/A

Minimum Stake:

TZS 250

Aviatrix – Jitengenezee Ndege Yako na Upande Juu Kwenye Leaderboard!

Aviatrix ni mchezo wa aina ya crash ambao umejitofautisha haraka na mingine, na sababu ni wazi: unatoa uzoefu wa kipekee tofauti na michezo mingi ambayo wachezaji wamezoea.

Katika mchezo huu unaweza: Kuipa ndege yako jina, Kuchagua rangi zake, Kupata zawadi unapopanda level

Ni mchanganyiko mzuri wa michezo ya video na crash games, unaofanya mchezo uwe wa kusisimua zaidi.

Jinsi ya Kucheza Aviatrix

Weka Dau Kabla ya Ndege Kuruka, Chagua kiasi cha dau lako kupitia paneli ya kubet kisha bonyeza “Place Bet.” (Beti Sasa). 

Subiri Raundi Inayofuata

Kabla ya raundi mpya kuanza unaweza kufuta au kubadilisha dau lako, lakini fanya haraka kwa sababu muda kati ya raundi ni mfupi.

Cash Out Wakati Sahihi

Ndege inapoanza kupaa, multiplier itaonekana kwenye skrini na kuanza kupanda.

Bonyeza “Cash Out” wakati wowote ili kuhakikisha ushindi wako.

Aviatrix Demo: Jinsi ya Kucheza Bure

Njia bora ya kujifunza mchezo ni kucheza kwenye demo mode. Ili kujaribu demo: Bonyeza “Free Play” (Cheza Bure).

Kumbuka: Ushindi wowote unaopata kwenye demo mode hauwezi kubadilishwa kuwa pesa halisi.

Aviatrix Download: Jinsi ya Kucheza Kwenye Simu

Kwa kutumia Bongobongo app, unaweza kuingia kwenye akaunti yako na kucheza Aviatrix mahali popote ulipo. Mbali na Aviatrix, pia utapata: Michezo mingine ya kasino, Kubashiri michezo ya sport. Vyote hivi vinapatikana moja kwa moja kwenye simu yako.

Dau Mbili kwa Wakati Mmoja

Unaweza kuweka dau mbili tofauti kwa kila safari ya ndege. Kila dau lina kiasi chake. Kila moja lina kitufe chake cha Cash Out. Hii inakupa nafasi ya kujaribu mikakati tofauti ya cash out.

Autoplay (Mchezo Kiotomatiki)

Kipengele cha Autoplay kinakuruhusu kuweka na kuseti dau moja kwa moja kwa raundi kadhaa.

Unaweza pia kuweka masharti ya kusimamisha Autoplay, kwa mfano: Hasara au ushindi wa jumla unapozidi kiwango fulani. Dau moja likishinda zaidi ya kiwango ulichoweka.

Mchezo wa Multiplayer: Huchezi Peke Yako

Raundi inapoanza utaona ndege za wachezaji wengine zikiruka nyuma ya skrini katika rangi tofauti (zilizobadilishwa na wachezaji wenyewe). Wakati mchezaji anapofanya cash out, kiasi alichoshinda kitaonekana kwa rangi ya kijani. Mwisho wa raundi, mchezo utaonyesha: Wachezaji waliotoa cash out, Kiasi walichoshinda.

Leaderboard – Mpango wa Zawadi

Kama ilivyo kwenye video games, wachezaji hupanda levels na kufungua mafanikio. Unapokamilisha miruko ya mchezo, unapanda juu kwenye Leaderboard. Baadhi ya miruko ni rahisi kama: Kuunda ndege yako na kuweka dau la kwanza

Nyingine ni ngumu zaidi kama:

Kufanya cash out kwenye multiplier ya 10.00x mara 10. Kushinda raundi 10 mfululizo. Unapokusanya XP, utafungua muonekano mpya wa ndege yako. Lakini kumbuka: mabadiliko haya hayabadilishi nafasi yako ya kushinda wala RTP ya mchezo.

Jinsi ya Kupata Free Bets kwenye Aviatrix

Unaweza kudai free bets moja kwa moja ndani ya mchezo.

Fanya hivi: Bonyeza “Promo” juu kushoto, Chagua “Bonuses”, Hapo utaona bonasi zote zinazopatikana kwako.

Cheza Aviatrix Leo kwenye BongoBongo Tanzania!

Unataka kujaribu uzoefu wa Aviatrix? Jisajili leo kwenye BongoBongo na uanze kucheza kwa nafasi ya kushinda hadi 10,000x ya dau lako.